Crime Prevention
Taarifa ya Dharura
Piga simu vizuri !
LINI KUITA 9-1-1
Simu zote ni mhimu, lakini si kila simu inamanaisha maisha iko kwa vitisho. Simu ya 9-1-1 niya hali ya dharura.
Dharura hufafanuliwa kama:
- Uhalifu wowote unaendelea (kuvunja na kuingia, wizi, na mengine)
- Hali yoyote ambapo watu au mali wako katika hatari (moto, watoto juu ya barafu, na mengine)
- Matibabu yoyote ya dharura (shtuko la moyo, ajali ya sumu, na mengine)
Wakati unaita 9-1-1:
- Kaa kwenye simu, tulia na ueleze dharura, kama vile anuani kamili ambapo dharura linajitokeza. Anuani na namba ya simu ambayo unatumia kwa kuita inajionesha moja kwa moja kwa opereta.
- Kupitia maswali sahihi, operator wa 9-1-1 ataamua ni nini unajalibu kuripoti na kisha atakuelekeza kwenye Huduma sahihi ya Dharura (Polisi, Moto au muuguzi wa dharura).
- Mhusu opereta kudhibiti mazungumzo na wewe ubaki kwenye simu mpaka uambiwe kukata.
- Kwenye hafla nadra, unaweza kupata ujumbe uliorekodiwa wakati unaita line dharura 9-1-1. Usikate simu. Wito wako utajibiwa haraka opereta akipatikana.
- Kama huna uhakika kama kitu kinachotokea ni dharura kweli, piga 9-1-1 na uripoti kile kinachotokea kwa opereta. Kama wanaamua si dharura, watakuomba tu kukata simu na kupiga namba ya simu isio dharura.
- Kama kuna shida ya kuerewana kwa lugha, unaweza kuomba mfasiri. Baki kwa simu, inaweza kuchukuwa dakika chache.
TAARIFA SIO DHARURA
Ukiwa unaripoti kwa Polisi kitu kwamba si dharura kutokana na ufafanuzi wa dharura (uriotajwa hapo juu), ebu piga simu kwa line ya Polisi ambao si dharura, 204-986-6222. Hii inaweza kujumuisha hali ambayo unahisi ni tuhuma au uhalifu ambayo umejitokeza na mkosaji hatarudi. Unaweza kuelekezwa kuhudhuria huduma ya polisi kituo hicho.

* Top of Page